Je, una miaka 16β35 na unaamini unaweza kufanya zaidi ya kusubiri ajira?
Miaka michache ijayo itawatofautisha vijana wawili. Yule anayesubiri fursa, na yule anayejitengenezea fursa.
π Nafasi ni chache. Jisajili leo: https://t.co/SXfSJXCyzy
Disciples Community imeandaa kambi kwa watoto wa miaka 10β18 kuwajengea identity, confidence, digital safety, creativity, innovation na marketplace mindset. π Tarehe: 22β27 Juni 2026 π Ada: 50,000/= π Nafasi: Watoto 40 tu π Jisajili hapa: π https://t.co/Qm6CJAikkg
Doha decided to host me properly β with lights, coffee, a laptop corner, and one giant teddy bear who clearly understood the assignment. ππΆπ¦
Jackson Isdory Mushi!!! hii imeniuma. Nimechukua muda kukubali... Nilimfahamu Jackson tangu mwaka 2004. Tulisoma wote UDSM. Tukaingia kwenye ulimwengu wa mawasiliano, PR na public service. Utakumbukwa daima Kaka.
π₯π₯π₯
FROM VISION TO A GROWING BUSINESS
Speakers: Dady Nicholaus Kayombo & Faith Kayombo
Date: Thursday, 28th May 2026
Time: Saa 2:00 β 3:00 Usiku
Location: Google Meet
Join here:
https://t.co/u4kFtFwVao
Usipange kukosa. Utajifunza, utabarikiwa, utabadilika.
Wanaume wengi hubeba mizigo mingi kimya kimya; kazi, familia, mahusiano, huduma na presha za maisha. Lakini afya ya akili kwa mwanaume ni muhimu sana.
Jumanne hii tunajifunza pamoja na:
ποΈ Dr. Meinrald Mtitu
π Afya ya Akili kwa Wanaume
ποΈ 26 May
β° Saa 2:00 Usiku
π Google Meet