Hii imekuaje?
Oryx ni muwekezaji wa kigeni tena wa muda mrefu anakandamizwa kihaki na oilcom
Oryx amekuwepo hapa muda mrefu na kutengeneza ajira zaidi ya700 kwa WaTanzania leo ananyimwa haki yake
Hii itaenda kuharibu taswira ya wawekezaji wa kigeni na vipi kuhusu ajira za watu?