@IAmHaule Angalia na kipato anachoingiza boss wako , kama unataka milioni Moja kumbe ata yeye mwenyewe hiyo milioni haingizi ndio kwanza taasisi inajitafta
@godbless_lema Hadithi ya Angola inahusu mpito wa madaraka kutoka kwa José Eduardo dos Santos (aliyetawala 1979-2017) kwenda kwa João Lourenço. Dos Santos alijenga utawala wa muda mrefu wa kifamilia na kiufisadi, huku Lourenço akiahidi kupambana na ufisadi huo na kuwafukuza watoto wa dos Santos