πLeo nimewakumbuka Sana Wana ambao siku za nyuma walikua mwanangu wa damu lakin asaiv hatuna story nyingi tenaπ hatujagombana, hatujakoseana wala hatuvimbiani ni #maisha tuuh,
Wao wamepata Wana wengne na mimi nimepata Wana wengne
ONE LOVE WANANGUβ€οΈβ€οΈ
@Samuel βοΈ
MESSAGE π¬ π¬
π Your smile βΊ is your #Logo
Your personality is your #BusinessCard π³ and the way you make other feel is your #TradeMark π
@Samuel βοΈ
QUOTE OF THE DAY βοΈ
π When you truly don't care what anymore thinks of you, you have reached a dangerously awesome level of freedom πͺ
@Samuel βοΈ
QUOTE OF THE DAY π¬π¬
π Mafanikio yeyote yale bila #MIKAKATI na #MSIMAMO hutoboi jitahidi sana kuwa kama watu #Walevi,
"Kwa Maan misimamo na kauli Yao ni moja tuuh." #Marufuku KulaHelaYaKunyweaPombe
@Samuel βοΈ
MESSAGE π¬
π#Ng'ombe sikuzote hawezi kupiga Teke kwa mbele mpaka umusogele kwa Nyuma ukishajua Tabia za mtu ishi nae kwa upande wa madhaifu yake hatakudhuru usitake kujaribu kuishi naye unavyotaka kwa upande wa nguvu zake #ATAKUUMIZA languu leo ni hili tuu #JILINDEπ
@SamuelβοΈ
MESSAGE π¬ π¬
π Simba Sc vs young African
Sheria ni moja tukifungwa viongozi hawatoki kwa mkapa ni lazima watueleze Huu usajili ulifanyika wapiπͺ
#SimbaNguvuMoja πͺ
@Samuel βοΈ
MESSAGE π¬ π¬
π Akikupenda we mpende Tena Sana but akiamua kuwa #bize muache kwanza aendelee na Mambo yake muhimu,, Akimaliza atakuchek π―π
@Samuel βοΈ
MESSAGE π¬ π¬
π Kwa hii valentine ya mwaka Huu hata sina shida nayo nimewaachia nyie
Goja nipambanie labda valentine ya mwaka ujao π―
@Samuel βοΈ βοΈ
MESSAGE π¬ π¬
Ukihisi umepoteza kila kitu katika maisha yako kumbuka kuwa,, miti hupoteza majani yake kila mwaka na bado husimama Imara kungojea Muda wa kuchanua majani yake Mapya
@Samuel βοΈ
PAIN π
π Najikuta namkumbuka mtu Fulani katika maisha ambaye tulikutana sehem Fulani hakika alikua ni bora kwangu,, alilia kwaajir yangu,, alinipendaah,, hakika namkumbuka saan π€
Tulishare vitu vingi but naomba niishie hapa
Am sad now π€
@Samuel βοΈ
MESSAGE π¬ π¬
π 14/2, is valentine day
π 14/2, R Madrid vs Barcelona
π 14/2, Psg vs bayern
π 14/2, man city vs Arsenal
Ladies""" all men will be busy forget about valentine day
#RememberTheName@Samuel βοΈ