MTOTO WAKO ANAWEZA JIFUNZA CODING
Coding au Programming ni nini?
Ni seti ya maelekezo au amri za kuiambia computer au kifaa cha umeme nini cha kufanya.
Hizi amri hua zinaandikwa kwa lugha maalum ili Computer iweze kuelewa nini cha kufanya.
🖥️ Kama una interest na PC au unajifunza IT, haya majina matatu lazima uyafahamu: BIOS, CMOS na UEFI.
✅ BIOS – Hii ndiyo firmware ya kwanza kabisa inayowasha na kuikagua PC kabla Windows au Linux haijastart.
✅ CMOS – Hii huhifadhi BIOS settings kama tarehe, saa na boot order kwa msaada wa CMOS battery. Ukitoa hiyo betri, settings nyingi hurudi kwenye default.
✅ UEFI – Hii ni version ya kisasa ya BIOS. Ina boot ya haraka, security nzuri zaidi (Secure Boot), inasupport storage kubwa, na ina interface ya kisasa ambayo ni rahisi kutumia.
💡 Ukizielewa BIOS, CMOS na UEFI, utaelewa vizuri zaidi jinsi PC yako inavyoanza kufanya kazi na troubleshooting itakuwa rahisi zaidi.
Kuna muda ukikuta home mazingira yako sawa ni kumshukuru MZAZI WAKO aliepambana.
Wazee kuanza moja katika nyakati hizi bila backup ni kazi kinoma.
Hata kwa ajira ni ngumu ku make na kutengenez generational wealth unless unaiba.
Wazee walikaza sana.
SpaceX is actively hiring world-class engineers/physicists for SpaceXAI, even if you have zero prior experience in AI. Smart humans figure it out fast.
Please send an email with ~3 bullet points demonstrating evidence of exceptional ability to [email protected].
SECRETLY READ ANYONE:
1. Status - revealed by their shoes.
2. Discipline - revealed by their nails.
3. Background - revealed by how their sit.
4. Intentions - revealed by their eyes.
5. Personality - revealed by how they laugh.
6. Confidence - revealed by how they walk.
7. Loyalty - revealed by where they look.
8. Intelligence - revealed by how they listen.
9. Maturity - revealed by how they argue.
10. Respect - revealed by how they treat people who can't help them.