Niko Kigoma na Kasulu na Ndugu Chande, MD-TANESCO, kama alivyoelekeza Mhe Makamu wa Rais. Tarehe 25/11 tunamaliza tatizo. Kigoma ipo nje ya Gridi, kwahiyo TANESCO inatumia bilioni 3 kwa mwezi umeme wa dizeli kwa wateja 63,000 wanaolipa bilioni 1.5. Tunaleta Gridi Kigoma mwakani.