Since my elder one aolewe coast,amejibrand chef. Juzi alipikia matha turungi ya mdalasini eti inamaliza tumbo, alihara karibu anyurie.Leo mchele kilo moja imewekwa mahogany kilo sabini eti ni viungo.Unapakua unashindwa ni pilau kanรกa sawdust. Chakula kali kuliko shingo ya mkisii.