@godbless_lema ...msitumie nguvu na muda kuwapokea na kuwapa nafasi wale wale walio wahi kutusaliti. Mnatuvunja moyo. Kuna mabinti kibao CHADEMA wanaweza kumreplace Mdee. Acheni hizo HALIMA is replaceable. Mnatuvunja moyo sana👎
@godbless_lema@godbless_lema kwenye chama chenu kuna vijana wadogo(mabinti) majasiri kweli,wenye elimu na wenye uwezo wa kujenga hoja vizuri na kuisimamia. Ni vyema mngejiwekeza kuwapa nguvu zaidi na nafasi mbalimbali kwenye chama ili wakue na waje kusaidia haya mapambano ya kuiondoa CCM ...
My bro anapitia kipindi kigumu mno najaribu kuvaa viatu vyake nashindwa, sijawahi ku experience maumivu ya namna hii.
Bro mke wake alitakiwa kufanyiwa operation ya kichwa, gharama ilikuwa 2.5M, baada ya kufanyiwa two days later shem anafariki,
Kufuatilia mwili linakutwa deni la 10.2M msiba mwingine.
Haraka haraka imepatikana 5.2M ikatolewa bado wakaendelea kushikilia mwili,
Wanasema itafutwe hata 2M Kisha watafutwe wadhamini wa kuhold deni linalobaki💔
Shem anaacha watoto watatu akiwepo huyu pichani. Lakini mmoja wa mwisho ni WA miezi 8½ tu.💔
You need a very strong heart to hold this situation😭😭