President Boko looks at the sognificant progress in Burkina Faso, and he is frustrated he has not been able to do the same for Botswana.
He has therefor directed his Ministers and senior public officers to accelerate implementation of Government programmes, warning that the time for prolonged discussions and delays is over.
It is quite commendable that at least one African leader sees the need for urgency.
Mjiulize kama @X (Twitter) haina impact kwa nini @samia_suluhu_hassan analipiwa 1,000$ kwa mwezi kuwa verified kwa grey checkmark na kila siku bize ana post?
Narudia mtandao wenye nguvu kwa waleta maamuzi DUNIANI ni X
Huku lazima kila mtanzania apambane kuingia na ku post kama tuko serious na ukombozi
#TutaelewanaTu
Siku ya kuzaliwa ya polepole imeafanyika kupitia x space ya Shangazi Maria. Fuatilia kusikiliza maisha ya polepole nje ya siana na namna alivyoingia kwenye siasa hadi namna samia ambavyo alimteka Polepole sehemu ya kwanza
@MariaSTsehai@lifeofmshaba
Siku ya kuzaliwa ya polepole imeafanyika kupitia x space ya Shangazi Maria. Fuatilia kusikiliza maisha ya polepole nje ya siana na namna alivyoingia kwenye siasa hadi namna samia ambavyo alimteka Polepole sehemu ya tano
@MariaSTsehai@lifeofmshaba
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimeweka masharti mawili ya kushiriki mchakato wa maridhiano ya kitaifa, yakitaka Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, aachiwe huru bila masharti na kesi zinazowakabili viongozi na wanachama wake zifutwe.
GOOD NEWS and BAD NEWS
Good News: Isingekuwa sauti yake halisi, one would have suspected ni AI. Video hii ina ishara njema. Just watch closely!
Bad News: Samia aliyemtoa uhai Angel anajigamba kuhusu kupunguza vifo vya mama na MTOTO. This is a joke, right?
Hivi muuwaji @SuluhuSamia una akili gani mtu kama Polepole ni wa kuteka? Mtu kama @TunduALissu ni wa kufunga kweli tena kwa kumuonea wee kapuku unatamani nchi iwe ya makapuku kama wewe Ikulu utatoka kwa shari
Kuna muda najiulizaga hivi hawa wakina MASAJU sijui majaji nao walisoma Darasa hili hili la sheria walilosoma wakina MWABUKUSI?
Wajomba wakishafika kwenye TEUZI vichwa vinageuka kama PANGO LA MENO.
Leo, kwa tafakari, dhamira na imani thabiti katika misingi ya haki, natamka na kumtambua Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu kama Godfather of Justice — Baba wa Haki — katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Utambuzi huu ni ishara ya heshima kwa ujasiri wa kusimama katika misingi ya haki, uthabiti wa kutetea demokrasia, na dhamira isiyoyumba ya kupigania uhuru, utu, utawala wa sheria na uwajibikaji.
Haki si upendeleo, wala si zawadi; ni msingi wa taifa lenye utu, usawa na ustawi wa watu wake. Katika safari ya kuisimamia haki na kuutetea ukweli, tunahitaji ujasiri wa kusema, msimamo wa kusimama na imani ya kutokukata tamaa.
Mungu aendelee kumjalia nguvu, hekima, ulinzi na neema katika safari yake ya kuitetea haki na kusimamia misingi ya utu na ukweli.
Utukufu, heshima na sifa zote ni za Mwenyezi Mungu. 🙏🏽
Ameeeen! 🇹🇿✊🏽
#TunduLissu #Haki #Justice #Demokrasia #UtawalaWaSheria #Tanzania
Mtu kama MASAJU anatakiwa kujibiwa kwenye UPUMBAVU wake.
Asante Makamu kwa kulisemea hili, lazima WAKOLONI WEUSI wakumbushwe hatupo zama za 90 kweusi.
REPOST 200