Watu wa hivi ukipata changamoto alafu ukaivuka vizuri bila mkono wao huwa wanaumia sana.
Mungu aendelee kuwa upande wetu tuu 🙏 maana walimwengu 🙌🙌
Good morning familia na muwe na jumapili njema na yenye baraka zake Muumba wetu.
@officielsalome Kuna watu wanapenda kuabudiwa wanapenda kuona wenzao wanawalilia wao kila siku kama vile ndo Mungu wao yani wanatamani kila mkwamo wao ndo wawe suluhu 🙌
Mungu atusaidie sana aisee tuweze kuzimudu shida zetu walau kwa asilimia 80+
Nilimkataa kitambo huyu snitch na akae akijua kapata hater mmoja matata sana
Nitakuwepo kwenye kila anguko lake na kila chozi lake litakua furaha kwangu
Na atafukuzwa tu, swala la muda 🤞🏾
🚨🩵 Enzo Maresca: “I want us to win, play good football, enjoy the pressure of representing Manchester City”.
“This will be my third spell at Man City. I cannot wait to start coaching”.