@masoudkipanya The fact is, when you are young, if you are mingling with the wrong people, you tend to be misguided. You tend to be brainwashed easily.
@KennedyWandera_ Guys, be careful. hawa activities watakua wanalipwa. Umewahi kuwaona kwa maandamano au umewahi kuona ndugu zao kwa maandamano? Possible they are using your blood to get paid. Be aware.
@BlazaFM@Roma_Mkatoliki@Sativa255 Wanaharakati wanalipwa na hiyo ni kazi kama kazi nyingine ndio maana hauwezi kuwaona kwa maandamano na wala ndugu zao hauwezi kuwaona kwa maandamano kwa sababu wanajua wanachokifanya.