Kila safari unayochukua na @twenderide si usafiri tu ni mchango wako katika kujenga uchumi wa wazawa.
Bei nafuu kwa mteja, maslahi bora kwa dereva, na huduma inayokujali kila hatua ya safari.
Chagua Twende Ride. Safari yenye thamani kwa kila Mtanzania.
#TwendePamoja
Mtoe dinner baby Chappo, Rekwesti twende tumekupa punguzo la hadi asilimia 20 ukitumia promo code ya TWENDE PAMOJA. by the way Happy Anniversary! vipi walevi zawadi wametoa?
Kama unaenda kucheki game ya Arsenal na PSG Johari Rotana tumekupa ofa ya kibingwa, Punguzo la buku 2 kwa kila safari, kwenda na kutoka Johari Rotana. We weka Promo Code TWENDEROTANA