Mavi ya Ngombe India
Mabaniani wanapambana na Janga Kubwa la #COVID19 kwa kurushiana Mavi ya ngombe.
primitive beliefs zimetamalak huku Maelfu wakifa kila siku
KUMBUKUMBU YA UCHAGUZI WA KWANZA WA
KIDEMOKRASIA
Baada ya miaka mingi ya mazungumzo na mapambano ya ukombozi, uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia uliandaliwa nchini Afrika Kusini, tarehe 27 Aprili 1994. Chama cha ANC kilichoongozwa na Nelson Mandela kilishinda uchaguzi huo.
#TANZANIA
RAIS SAMIA ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu, Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 5,001 waliokuwa wakitumikia adhabu ya vifungo mbalimbali.
Rais Samia amewataka wafungwa hao kutumia vyema mafunzo waliyopata wakiwa gerezani.
"Tukumbuke Rais wa Jamhuri amekula kiapo cha kulinda Tanzania nzima ikiwemo Zanzibar, pia Bunge lake lina wabunge wanaotoka Zanzibar na wamechaguliwa na wananchi na fedha za mfuko wa jimbo ZNZ zinaenda"- Severin Kapinga, Mwanadiplomasia
#SupaBreakfast#BajetiWizaraYaMuungano
Sikia, ni CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM, yaani UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM (UDSM) kabla hakijawa jalala.
Nimefunzwa Literature na wajuvi kutoka department kongwe ya fasihi nchini hapa
The likes of Dr Mpale Silkuluwasha na Prof Osaki.