@MariaSTsehai@DP_World This is a framework agreement that sets the ground for investment. When they say the agreement will have no end untill parties decide otherwise, they are referring to the framework, not contracts. A high performing port is to our economic benefit - lets think big.
@mwigulunchemba1@kitilam Congratulations to both of you. Both appointments are well deserved. I am sure that under your leaderships, our economy will grow to new heights as we embrace the efficiencies of the private sector, both local and FDI - especially the latter.
Leo nimeshiriki katika kampeni ya kuchangia damu (Changia Damu Okoa Maisha ya Mama na Mtoto) iliyoratibiwa na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, DMO Ubungo, Mradi wa USAID Afya Yangu pamoja na Hananja Compassion Foundation. Ifahamike! Unapochangia damu unaokoa maisha ya wengine.
@zittokabwe@NoelKumbuaeli IGA inaweka mazingira sawa kwa mazungumzo kuhusu ushirikiano wa DPW na TZ. Sijui kwa nini watu wanashindwa/ wanakataa kulielewa hilo.
@MshauriSerikali@mshambuliaji Huu uliosainiwa siyo mkataba wa kukabidhi bandari yeyote. Ni mkataba wa kuweka mazingira ya mazungumzo baina ya pande mbili. Hayo mazungumzo ndiyo yatazaa mikataba ya namna gani, na ni bandari zipi, zitazoanguka katika mikataba ambayo itaeleza kitachofanywa.
As the Coronation weekend draws to a close, my wife and I just wanted to share our most sincere and heartfelt thanks to all those who have helped to make this such a special occasion.
We pay particular tribute to the countless people who have given their time and dedication to ensuring that the celebrations in London, Windsor and further afield were as happy, safe and enjoyable as possible.
To those who joined in the celebrations - whether at home, at street parties and lunches, or by volunteering in communities - we thank you, each and every one.
To know that we have your support and encouragement, and to witness your kindness expressed in so many different ways, has been the greatest possible Coronation gift, as we now rededicate our lives to serving the people of the United Kingdom, the Realms and Commonwealth.
ππ‘ππ«π₯ππ¬ π
@IAMartin_ Chini ya Rais JK, wananchi wengi sana, kote nchini, walitoka kwenye kundi la maskini. Wengi walijijengea nyumba za kisasa mpaka kijijini ndani ndani. Kwa ujenzi ulivyoshamiri chini ya uongozi wa SSH, hizo za udongo nazo zitabadilika.
@NkumbiJoram Kwa mfano, hiyo "pursuit of happiness", inaelekeza Bunge lisitunge sheria yeyote inayomnyima mtu kutimiza tamanio la moyo wake, halimradi hajaingilia uhuru wa mtu mwungine kutimiza "pursuit of happiness" yake.
@NkumbiJoram Katiba ya Marekani inaweza kujaa kwenye karatasi moja la A3, lakini ni moja ya katiba bora kwa sababu imejielekeza kuweka maoteo ya nchi. Namna ya kutekeleza hayo maoteo, yanafanywa na sheria zinazotungwa na Bunge.