📌 EXCLUSIVE | "Tunafurahia Sana": Waziri wa Tanzania kukaribisha ufunguzi wa ofisi ya Sputnik barani Afrika.
🛰 "Hii itawasaidia watu kuelewa vizuri zaidi kuhusu Urusi, kushirikiana nayo kwa karibu zaidi, pamoja na kutumia teknolojia yake na uwezo mwingine mkubwa kwa ajili ya maendeleo ya Afrika," amesema Kitila Alexander Mkumbo @kitilam, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, katika mazungumzo yake na Sputnik Afrika pembezoni mwa mkutano wa SPIEF 2026.
Instead of watching 2 hours of Netflix, watch this MIT lecture by Patrick Winston.
It will teach you more about communication and clarity than most people learn in years of speaking.
Save this.
🇧🇾🇹🇿#Belarus views #Tanzania as a strategic partner and a key gateway to the markets of East and Southern Africa. During Belarusian FM Maxim Ryzhenkov’s meeting with Tanzania's Minister of State in the President's office @kitilam, both sides agreed to expand the legal framework for investment protection, customs cooperation, and visa facilitation 🤝
French judge Nicolas Gouyou, who issued an arrest warrant for Netanyahu at the ICC:
• Visa and Mastercard have blocked all my cards
• I cannot make any purchases
• I am a judge, yet treated like a criminal
• Judges, lawyers, and politicians are being intimidated
• A colleague told me my name won’t be removed from the blacklist until Trump’s term ends
• Despite intervention by the French president, U.S. authorities have not responded
🚨 BREAKING: 🇶🇦
Qatari Minister Lolwah Al-Khater to Trump and Netanyahu:
“Stop speaking on our behalf. Stop using us as an excuse for your agendas. We don’t want you to ‘liberate’ us—we just want to be left alone. Stop fueling wars. It’s not our fault you failed in school and were educated by Hollywood—the world is not a movie.”
Baada ya miaka 35, tumelazimika kufanya tena tathmini ya mfumo wa kodi nchini ambapo leo nimepokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini niliyoiunda Julai 2024. Tume imewasilisha mapendekezo 284 yanayolenga kuboresha mfumo wa kodi ili uendane na mabadiliko ya kiuchumi, kiuwekezaji na kibiashara duniani.
Maboresho ndiyo maendeleo. Kwa muktadha huo, tumechukua hatua hii kwa malengo makuu mawili; kwanza, kupanua wigo wa walipakodi, ili kila mwananchi ashiriki kujenga uchumi wa nchi yetu, na pili, kutambua kuwa mfumo bora wa kodi ni muhimu katika kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani, sawa na malengo ya Dira 2050.
Ninawashukuru wananchi wote kwa kutoa maoni kwani mmeshiriki kuamua hatma ya leo na kesho yetu na Taifa letu. Aidha, katika utekelezaji wa mapendekezo hayo, tutashirikiana kikamilifu na sekta binafsi, wananchi na wadau wengine ili tufanikishe lengo la ukusanyaji rasilimali zinazohitajika kwa ustawi wa watu na maendeleo ya nchi yetu.
National President @AhmadiyyaUK Rafiq Ahmed Hayat and members of the Ahmadiyya Muslim Community hosted Hon. Kitila Mkumbo (@kitilam), Minister of State, and H.E. Mbelwa Kairuki (@MbelwaK) to the Baitul Futuh Mosque this Sunday.
It was an honour to host the delegation and further strengthen the longstanding ties of friendship and mutual respect between the Ahmadiyya Muslim Community and Tanzania.
As we reflect on last week’s King’s Birthday Party, we want to extend a heartfelt thank you to all our generous sponsors & incredible vendors, both old & new, for making the evening truly special. The night wouldn’t have been the same without your support & hard work!
Katikati ya upendeleo na mambo mengine yasiyoeleweka humu duniani, bado watu wenye uwezo, sifa stahiki na bidii wana nafasi ya kutoboa. Usichoke kujijengea uwezo na kuzitafuta sifa sahihi.
📍Dodoma
▪️WAZIRI PROF. MKUMBO AKUTANA NA MKURUGENZI WA GATSBY, WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Juni 3, 2025, alikutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Gatsby, Bw. Justin Highstead, jijini Dodoma.
Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili namna ya kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo, likiwemo Shirika la Gatsby.
Pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri Prof. Mkumbo alipongeza mchango wa Shirika la Gatsby katika kusukuma ajenda za maendeleo nchini, hususani katika maboresho yanayoendelea kwenye sekta mbalimbali.
Kwa upande wake, Bw. Highstead alieleza kuwa shirika lake litaendelea kushirikiana na Serikali kwa kutoa mchango wake katika kujenga uwezo na kushirikiana katika kutekeleza baadhi ya mikakati ya maendeleo.
📸:Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa
Dodoma, Mei 30, 2025
Siku ya pili ya mkutano wetu jijini Dodoma ambapo kwa pamoja tumezindua Ilani ya CCM 2025-2030. Ilani hii imeandaliwa kwa weledi mkubwa kwa manufaa ya Taifa letu, ikilenga zaidi katika kuchochea mapinduzi ya kiuchumi, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya wananchi.
Vipaumbele vingine ni kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji, kukuza matumizi ya sayansi na teknolojia, kudumisha amani, utulivu na usalama, kudumisha utamaduni, na kukuza sanaa na michezo na kuongeza kasi ya maendeleo vijijini.
Aidha, tukielekea kwenye uchaguzi mkuu, nimezielekeza kamati za kuteua wagombea kutenda haki ili tupate viongozi watakaotekeleza ilani kikamilifu. Pia, nimewaasa wanachama wa CCM kuimarisha umoja na mshikamano, tuingie kwenye uchaguzi tukiwa wamoja, ili chama chetu kipate ushindi mkubwa na turudi kuendeleza kazi ya kuwatumikia wananchi wote.
Gratulerer med dagen! 🇳🇴
Thank you to our Tanzanian partners and Hon. Dr. Kitila Mkumbo for joining our May 17 reception in Dar. As we mark Norway’s Constitution Day, we celebrate strong, growing ties with Tanzania—founded on partnership, peace, and shared values.
#17mai 🇳🇴🤝🇹🇿