Senior Bachelor ndio natoka misa,Napitia hapo kwa madhe nachukua kawaida chapo 3 supu vyombo kwa sink zinangoja nimake first move lakini I'm too nonchalant for that, weather n for two lakini kijana sura ilikataa wacha niingie niunde kahawa niskume series mamae