Tume ya Ghasia wataiskip i-buy time mpaka 2027, hadi hapo wanakuwa wamefanikiwa kuSave 2years!!
Inabaki miaka mi3 watachekecha waje na agenda gani tena ya kuwapiga dana dana wapiga kura waendelee ku-buy time.
Lengo apo ni waBuy time hadi 🧕 amalize 2030.
Wakiulizwa kuhusu katiba watasema sikilizieni, ngoja kwanza tume ilete majawabu.
Baada ya tume ya ghasia 2027, wataunda tume nyingine hadi 2029!!
Strategies za darasa la nne C
Tume inaenda kuchunguza "waliochochea" na "waliotoa Fedha watu kuandamana".
Jitu limeuwa watanzania kwa maelfu linajitafutia angle ya kubaki salama.
Nani alipiga RISASI ZA VICHWA watanzania?
Nani alizima mtandao siku 5?
Nani alipoteza maiti kwa maelfu za watanzania kwenye makaburi ya HARAIKI?
Haya ndiyo mambo ya KUCHUNGUZA.
Watu waliandamama kwasababu nyingi na sababu kuu zilikuwa ni KUPINGA UCHAGUZI HARAMU, KUKEMEA UTEKAJI NA UFISADI.
Hayo mambo mtu anahitaji kulipwa kuandamana?
Watu sio wajinga DIKTETA JIKE.
Mtuhumiwa hawezi kujichunguza mwenyewe.
Tangu mwanzo tulisema tume ya Jaji Chande haiwezi kuleta ukweli, iliundwa kuficha ukweli na kusafisha watuhumiwa.
Ndio maana ile tume ilikuja na hoja za ajabu kwamba:
1. Watu wanatekwa kwasababu za kimapenzi
2. Kwasababu za ushirikina
3.kwasababu za kibishara.
Kuna familia zinasema na zina ushahidi wa ndugu zai kutekwa na kupotelea vituo vya polisi, lakini Chande hakusema hilo popote.
Kama ilivyokua tume ya Chande.
Hiki kinacholazimishwa kitaharibu na kuwagawa Watanzania zaidi.
Jaji wa Museveni ambapo wapinzani wanauwawa, wengine wako jela na wengine wamekimbia Nchi.. labda atawapa uzoefu zaidi wa namna ya kuumiza watu lakini sio kutafuta ukweli.
We must learn to live together as brothers or we perish together as fools.
Binadamu yeyote ambae hawezi kukemea vitendo vya kihuni vya watu kutekwa na kupotezwa hafai kuwa binadamu..
Eneo la Tarime watu zaidi ya 25 wametekwa na kupoteza ndani ya kipindi cha mwaka moja tu.
Anaetaka tunyamazie uhuni kama huu atafute kazi nyingi e ya kufanya.
Tunataka kujua ndugu zetu walipo.
Hi Watanzania, kwa sasa niko busy mnooo na jambo la msingi, very soon mtajua nilikuwa busy na kitu gani.
So kwa sasa I’m not focused kwa kudai haki huku kwenye social media, nipo busy napambana kiundani zaidi..:.:
Soon wote mtajua what was keeping me busy. And it will be great news to Tanzanians, GOD WILLING.
Katika Nchi ambayo uhusiano wa serikali na wananchi ni wa kikatiba.
Uhusiano wa Mwananchi kama muajiri na serikali kama muajiriwa huwezi kuona upuuzi kama huu.
Nchi hii wananachi wanachukuliwa kama watumwa na watawala kama watwana au wamiliki wa watumwa.
Nimeona utetezi wa jeshi la polisi kwenye upuuzi huu, inathibitisha kiwango cha dharau walichonacho hawa watu dhidi ya raia.
Mwananchi huyu masikini amelima alizeti imekaa shambani miezi minne, mbegu amenunua mwenyewe, pengine kwa jembe la mkono na mvua kidogo akavuna.
Hapo ilipo hiyo alizeti kuanzia mbegu imelipiwa kodi, akivuna tu kodi… huko anakopeleka kuna Mageti ya mazao kila kona..
Baada ya kuuza akinunua sukari kuna kodi , kiberiti, Sabuni na chumvi vyote kodi za kulipa askari huyo mshahara.
Hata kama huyo bwana amekosea:
Sheria gani inampa mamlaka askari kuchukua mzigo wake na kutupa mtaroni?
PGO namba ngapi inamwambia askari mtu akifanya kosa kama hilo unaharibu mali yake kwa kuirusha kwenye mtaro unaopitisha maji machafu tena mzigo wa chakula?
Kwanini usimkamate na kufuata utaratibu wa kisheria?
Kwa utetezi huu wa polisi kwa askari hao ni uthibitisho wa namna serikali hii ya kidkteta inavyowaona wananchi…
Haishangazi kama waliua mamia kwa maelfu ya watu na wanaona ni kawaida itakua kutupa mzigo mtaroni?
Watanzania mnapaswa kubadilika wale mnaofikiri hayawahusu kwasababu nyie sio huyo bwana, watawafikia kwa njia nyingine.
Kama alivyowahi kusema Martin Luther king kwa watu weusi kule Marekani.
“We must learn to live together as brothers or perish together as fools“
Lazima tujifunze kuishi pamoja kama ndugu, kwa kuteteana, kusaidia na kulindana au tuangamie pamoja kama wajinga.
Bro to Bro!!
Hii itakusaidia sana kuilinda afya yako ya akili na pia kukuepusha na unnecessary changamoto!!
Mimi huwa naitumia sana hii formula.
Unapokutana na Pisi kali, Ipe kasoro kwenye imagination zako, mpe dosari za viungo vyake….nitakupa mfano.
Ukimuona binti mrembo anza kumuwazia kuwa ana jicho moja lingine limetoboka, au muimagine ana komwe refuuu na kisogo kirefu!!
Mkate kiuno kuja chini mu-imagine ana kiwiliwili tu!!
Hakikisha unampa kasoro yoyote ya viungo, its very easy, utaishi bila stress na itakusaidia sana
Misaada sio kupungua tuu, ITAISHA KABISA.
Nyie si mlijifanya ni KISIWA kwamba mnaweza kuuwa watu wenu na dunia ikawachekea tuu.
Kila siku wananchi wakitangaza Maandamano mnaanza kuteka watu na kuwaita MAGAIDI na kuwafunga MAGEREZANI. Mnafikiri dunia haioni.
Nchi ambayo IMEJAA MAGAIDI unataka ikopeshwe pesa watalipaje? Mnafanya haya na jeshi lenu la polisi mkijua mnaisaidia nchi kumbe ndio mnaizika kabisa.
Kenya wapo uchumi wa kati kitambo kila siku wanapokea MIKOPO mikubwa sana kwasababu ya DEMOKRASIA yao.
Wewe unatupanga eti kwasababu tumekuwa kiuchumi ndiomaana hatupewi mikopo, ENDELEA kuuwa watu, kuteka watu, kufunga wakosoaji wako na uone kama HATA HIZO BILIONI 500 UNAZOPATA SASA KAMA UTAPATA.
Hii nchi unaenda kuizika kabisa wewe MALAYA tupo hapa.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Watanzania tuko vizuri kwenye kudai haki, Tafadhali tusikubali kutolewa kwenye focus ya kubadilisha maisha yetu na nchi yetu kwa ku trendisha upuuzi wa wasanii.
Watu maarufu ndio wamekuwa kikwazo cha Watanzania ku focus kudai haki sababu ya ujinga wetu Watanzania, tena Watanzania maskini ndio tunao trendisha huu upuuzi