Hii combo ya hivi ukute yupo hivi na amekonda wanakuwaga na ushauri wa kisenge sana kwa mademu wazuri waliopo kwenye mahusiano yao utaskia achana na uyo mtu wako you deserve better πππΏ
Kabla hujasema kama maisha ni magumu au mepesi jiulize kwanza je unaishi kulitimiza kusudi lako au wewe ndio wale mpo duniani ili tu kutafuta hela ya kula , kunywa na kodi alafu basi π€ .