Tumia hii code *#004# kujua kama mtu ameku hack ukiwa huptikani,ukiwa busy,unapokua hupokei badala ya kutumia *#61#, *#62#, na *#67# kua huru kutumia inafanya kazi kama hizo zingine tu ,tumia ##004# kufuta hali zote za kuwa hacked
Jinsi Hackers Wanavyohack WhatsApp na Jinsi ya Kujilinda 👹👹
Hackers hutumia mbinu mbalimbali kama kudanganya watumiaji kutoa verification code, kutumia spyware, kutuma malware, au hata kunakili akaunti ya WhatsApp.
Lakini mashambulizi haya mara nyingi hufanikiwa tu ikiwa ⁸
Kwenye hii Album mpya Mjini kutoka kwa roma yenye #Miwa 15. Miwa yote ni Hatari ila huu wa #Namuachiamungu ni wimbo wangu kabisa. #Unanihusu kwa namna moja au nyingine
Hatimae in love album ya Spero beats imefika namba mbili kwenye Top chart za Album bora za wiki hii kupitia Artify music platform. Kweli watu walimis hizi fleva.🫡🫡
Wale wapenzi wa nyimbo za Spero Wekend hii nitawawekea nyimbo zake zote pamoja na Album yake Inayopendwa inayoitwa In Love.
Tunakuomba sapoti yako ya ku stream na ku download ili kumsapoti spero Beats
Ni Juma mosi Kesho Kuanzia saa tano asubuhi. Visit https://t.co/OCL1rDAsay
Love those around you. Those who are the hardest to love, need it the most.
You don't know what they are going through. God bless you all 🙏🏻 #art#artify#artifymusic#music#musicstartshere