SIFA zote njema anastahiki Mola Azzawajalla, Mwenye kuneemesha neema kubwakubwa na nyingine ndogondogo.
Isitoshe, ni moja kati ya mawili; ama mtandao uutawale au ukutawale.
Hakuna Utajiri kama Uzima wa Afya Kwanza hatuna budi wa kumshukuru Allah Subhabana wa Taala aliyowezesha kutufikisha siku nyengine ya https://t.co/SkuDIpCGzb fursa nyingine ya kutenda mema tuchume thawabu nyingi. Mema ambayo hatuna budi kuyatenda kwa ajili ya kujenga Aakhirah
@asas_dairies Tunaungana na watu wote Dunia kuhadhimisha “Siku ya Baba Duniani”
“Licha ya Nguvu alizonazo Baba ila hakutumika kama Nanga ya kutukwamisha Bali ni kama Taa inayotuongoza ambayo Upendo wake unatuonyesha Njia”
HAPPY FATHER’S DAY
#asasdairies#asasTanzania
Hii ndio sifa ya kipekee kwenye maziwa ya @asas_dairies yenye uwezo wakukaa nje ya jokofu zaidi ya Miezi sita bila ya kuharibika.
Kwa Ubora na ladha ile ile kwetu ondoa shaka 🤙 fika dukani uliza ASAS UHT iwe chaguo lako la kila wakati.
#asasdairies#asasTanzania
@asas_dairies inaungana na watanzania wote na kutoa pole kwa walioguswa na Ajali ya Treni iliyotokea January 2 Bahi Dodoma Tunawaombea Marehem wote wapate pumziko lililo jema na majeruhi wapate Afya tena Amin. 🙏
Bado tuna salamu zenu nyingi kutoka kila kona ya Dunia na hizi ni salamu kutoka kwa @braydonbentpage Shabiki na Star wa mancity na host wa skynewkids amesama “ Kunywa maziwa ya @asas_dairies Kila wakati”
2021 BAKI NASI, UPATE KILICHO BORA ZAIDI
#asasdairies#asasTanzania
Ndugu zangu kama mnavyo tambua huu ni utaratibu wa kila Mwaka kwa watu kumalizana na madeni na Beef na watu, 😔😔
Sasa kwa kuuaga mwaka 2020 nimekuja kivingine na mikakati ya malizana na wale wote wenye kwaro na mimi🤣🤣
Na kama kuna mtu namdai naomba ajisalimishe kituo chochote
Huu ndio Msimu wa kuonyesha mapenzi yako kwa Familia na watu wote uwapendao, kwa zawadi zenye viwango na Ubora kutoka @asas_dairies
Maliza Mwaka na ASAS, Anza Mwaka na ASAS
HAPPY HOLIDAY & HAPPY NEW YEAR
CC @asas_dairies