The difference is only in our THINKING, positive or negative. Otherwise staircase is the same, someone can use it for going UP and someone for coming DOWN.
"Unasubiri kazi ya kiti cha kuzunguka wakati hata stuli ya kukalia huna? Kumbuka, hata rubani alianza kwa kutembea kwa miguu kabla ya kurusha ndege."
Kila safari kubwa inaanza na hatua moja ndogo, mara nyingi hatua hiyo haina kiyoyozi.