#Neno...NENO HULETA MWANGA. Zaburi 119:130....Ni muhimu kujua ni nini kinaingia ndani yako maana kinachoingia kina nguvu na kinaweza Leta mema ama mabaya. Neno la Mungu likipenya na ulipokee vizuri utaona mabadiliko makubwa sana. Tukutane Galilaya!
#NuruNaEvahMwalili
Nairobi yaorodheshwa ya 10 duniani kwa uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, na ya pili barani Afrika baada ya Addis Ababa.
#HabariZaRadio47#HapaNdipo
#Neno... MKOMBOZI WANGU YU HAI. Ayubu 19:25-27 part 2.... Japo watu wa karibu walimtenga Ayubu, Mungu hakumtenga, alijua Yu hai na ataona kazi yake njema. Mwana Ligi macho yako yalenge Mungu na umjue kwa undani sababu wanadamu hugeuka! Tukutane Galilaya! #NurunaEvahMwalili
#Neno..MUNGU AMETUHIFADHI...(Part 2) Kumbukumbu 8:1-5....Mungu hukubali tupitie nyika, mabonde, dharau ya mwanadamu ili
atutengeneze na kutufanya bora, ndio maana anatuhifadhi katika jangwa. Hivi ndivyo alivyofanyia wana Waisraeli, aliwahifadhi na anakufanyia vivyo hivyo! Tukutane Galilaya!
#NuruNaEvahMwalili #HapaNdipo
#Neno...WASIWAHI PATA MLANGO! Mwanzo 19:1-11...
Waovu na wanaopanga njama mbaya za kukuangamiza, wasiwahi pata mlango wa kuingia kwako, Mungu awapige na upofu hadi wachoke wakijaribu kutafuta mlango. They will never get access! Tukutane Galilaya! #NurunaEvahMwalili
#Neno..ILI MUNGU ATUKUZWE KWA MAMBO YOTE.
1 Petro 4:7-11..Biblia inatuhimiza tuwe na nidhamu, tupendane, tuwe wakarimu na tutumie vipaji vyetu kwa faida ya wengine, atakayezungumza maneno yake yawe kama maneno ya Mungu ili apate kutukuzwa! Tukutane Galilaya! #NuruNaEvahMwalili