Katika Kumbukizi yangu ya Kuzaliwa na kuomba wewe rafiki yangu unisaidie leo kuandika,kushare na kupiga kelele kuhusu utekaji na upotezwaji watu.
Siku yangu hii nitaitunia kutafakari namna bora ya juanza upya na kuendeleza madai ya kurejeshwa kwa ndugu zetu waliopotezwa.
Hatukuja Duniani kwa Bahati Mbaya.
Ni kwa neema ya Mungu ilikupata nafasi ya uzoefu katika Uhai na Utu katika Mwili.
Namna bora ya kuishi nikutambua kuwa hatuishi kwa ajili yetu tuu au kwajili ya kupendeza wengine tu .
Kuna kusudi na wajibu wajuu kabisa wa Kimungu katika Uwepo wetu.
Timiza kusudi la Uwepo Wako.Mungu ni mwema wakati wote.
Aluta Continua.....
BAK Mwabukusi.