@airtel_tanzania inakuaje mtu ananunua kifurushi azam then hapat sms mnamwambia asubiri masaa 72? nachojua masaa 72 ni kama ijumaa jion ambapo weeknd sio sku za kazi.ila mm nilinunua kifurushi j.tatu asubuh halafu mnasema nisubir masa 72? Au kuna priority ya kuhudumia wateja?