Tafadhali mtag mwana-familia wa Twitter anayeuza hii kitu hapa kwa picha, natafuta mzigo wa kutosha wa kijani na njano. 08.10.2022 pale Estadio de Lupaso sisi Yanga Twitter Family tuna jambo letu.
Wewe ni shabiki wa @yangasc1935 na tarehe 08.10.2022 utakuwepo Estadio de Lupaso dhidi ya Al Hilal? Naomba tujuane hapa tafadhali. Nina mpango wa kutafuta kigoma cha Uruguay kwa tawi la Yanga Twitter Family. Kila Mwananchi anakaribishwa. 🖤💚💛
@prosperbartha@bvrbvra Yaan watu wakishakua wanajiona "wachambuzi" twitter wanaamini wanajua kila kitu na wana solution ya kila issue ya mpira kuanzia za ki uongoz mpaka za uwanajan
Tembelea Maduka ya GSM Sports Salamander Tower-Samora, Mlimani City, Msasani Mall na GSM Mall Pugu Ujipati Uzi, T-shirts na Kofia za Wananchi👊🏽
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko