Usichukuwe ushauri kwa kila mtu, mtizame mwenye kutaka ushauri kwake kabla hujamuomba ushauri.
Baadhi ya watu hukushauri kwa malengo ya kubomowa na kukutia kwenye matatizo, japo hukushauri kwa njia ya kujenga kama alivyofanya ibilisi kwa mtume Adam sala na salamu ziwe juu yake.
Miongoni mwa wema unaoweza kumfanyia mwenzako ni kumuombea dua njema bila ya yeye kujuwa.
Tukithirisheni kuombeana dua njema baina yetu, jamaa zetu na marafiki zetu ndani ya haya masiku matukufu yaliyobakia katika kumi hili la mwisho.
ALLAH ampe kila mmoja hitajio la moyo wake.
#فتاوى| وفاة الابن قبل الوالد أو الوالدة.. هل يسقط حق أولاده في الميراث؟
= الإجــابــة
بسم الله الرحمن الرحيم.. السلام عليكم ورحمة الله وبركاته، وبعد:
القاعدة الأساسية في الميراث أن «الأقرب يحجب الأبعد». بمعنى أن وجود ابنٍ مباشرٍ للمتوفى يمنع ابنَ الابن (الحفيد) من الميراث.
وبناءً على هذه القاعدة، فإن الجواب المباشر لسؤالك هو:
نعم، بموجب قواعد الميراث الأصلية، فإن وفاة الابن قبل أبيه (أو أمه) تُسقط حق أولاده (الأحفاد) في الميراث من جدهم، وذلك لوجود من هو أقرب منهم درجة، وهم أعمامهم (إخوة أبيهم المتوفى).
ولكن رحمةً بهؤلاء الأحفاد اليتامى وحفظًا لحقهم، أقرّت القوانين في معظم الدول الإسلامية نظام «الوصية الواجبة»، فتُقتطع لهم حصة من التركة قبل توزيعها. ويُستدلّون على ذلك بمقاصد الشريعة في رعاية اليتيم وعموم قول الله تعالى:
﴿كُتِبَ عَلَيْكُمْ إِذَا حَضَرَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ إِن تَرَكَ خَيْرًا الْوَصِيَّةُ لِلْوَالِدَيْنِ وَالْأَقْرَبِينَ بِالْمَعْرُوفِ ۖ حَقًّا عَلَى الْمُتَّقِينَ﴾ (البقرة: 180)، فهؤلاء الأحفاد من الأقربين غير الوارثين. وكذلك قوله تعالى:
﴿وَإِذَا حَضَرَ الْقِسْمَةَ أُولُو الْقُرْبَىٰ وَالْيَتَامَىٰ فَارْزُقُوهُم مِّنْهُ﴾ (النساء: 8).
فخلاصة الأمر أنهم لا يرثون إرثًا مباشرًا، ولكنهم يستحقون نصيبًا من التركة عن طريق الوصية الواجبة، وهو ما يعادل حصة أبيهم لو كان حيًا، بشرط ألا يتجاوز سهمه ثلث التركة.
والحق أن قانون «الوصية الواجبة» بالمفهوم القانوني المعاصر به إشكالات كثيرة، ولم يقل به أحد من أئمة المذاهب الأربعة المتبوعين (أبو حنيفة ومالك والشافعي وأحمد)، ولا جمهور الفقهاء المتقدمين. وهذا أمر متفق عليه. فالمذاهب الفقهية المعتبرة استقرّت على أن الوصية مستحبة وليست واجبة، وأن الأحفاد محجوبون بوجود الأعمام.
فللخروج من هذا الإشكال، فالنصيحة للجد أن يبادر بكتابة هذه الوصية بنفسه طاعةً لله، وللأعمام أن يتقوا الله في أبناء أخيهم؛ لقوله تعالى:
﴿وَإِذَا حَضَرَ الْقِسْمَةَ أُولُو الْقُرْبَىٰ وَالْيَتَامَىٰ فَارْزُقُوهُم مِّنْهُ﴾ (النساء: 8).
والله تعالى أعلى وأعلم.
#فتوى_بلا_قيود
#تبليغ_بلا_عوائق
@drassagheer@Dr_AbdHayYousif
لا يجوز للمرأة أن تسافر بدون محرم
سواء كان السفر بعيدا أم قريبا
وسواء كان للحج أم لغيره
وسواء كانت شابة جميلة أم عجوزاً شوهاء
وسواء كان معها نساء من أقاربها وصاحباتها أم لا
وسواء غلب على الظن سلامتها أم لا
وسواء كان ذلك في طيارة أو غيرها.
📚 مجموع فتاوى ورسائل ابن عثيمين
Mambo saba ameyaamrisha #Mtume (Sala na salamu ziwe juu yake) wakati wa kusuf , (kupatwa kwa mwezi) na yote yamethibiti katika sunnah.
1- Swala
2- Dua
3- Istighfaar
4- Adhkaar
5- Takbir
6- Sadaka
7- Kumuwacha huru mtumwa.
Sheikh Ibnu-Utheymin (ALLAH amrahamu).
#assarawiyaat
Sababu za msongo wa mawazo, dhiki katika nafsi huku ukiona dunia yote imekulemea wewe, pamoja na kuondolewa baraka katika mambo yako ni kupanga ratiba yako ya siku kisha ndani yake usiweke ratiba ya kuisoma Qur'an japo kwa uchache.
#assarawiyaat#assarawiyaat
Miongoni mwa misiba mikubwa katika ummah wa kiislamu ni kufariki kwa wanazuoni wake ambao tumewashuhudia walikuwa katika haki, na msiba mkubwa zaidi ni kufariki kwa wanazuoni kisha baadhi yao wakawa ni wenye kufurahia vifo hivyo pamoja na kuwabebesha fikra hizo wanafunzi wao.
Kila unavyotowa sadaka ndivyo inavyozidi rizki yako, unyenyekevu mkubwa katika swala ni sababu ya utulivu wa moyo, kuwafanyia wema wazazi kunazidisha baraka katika maisha yako, na kila unavyomuogopa Mola wako ndivyo utakapopata ufumbuzi wa mambo yako na kufunguka rizki zako.
Kila alichokiwacha maiti katika mali isiyohamishika kama #nyumba na #ardhi, au inayohamishika kama #gari, au madeni isipokuwa vinahesabiwa ni mirathi kwa warithi wake wote, kisheria hawaruhusiwi baadhi ya warithi kunufaika na mirathi bila idhini na ridhaa ya warithi wengine.
Baadhi yetu tulipokuwa masomoni tulikuwa na ndoto kubwa katika maisha yetu na jamii zetu, ila ndoto hizo zimefifia kutokana na mazingira tuliyokuja kukumbana nayo baada ya masomo.
Mazingira yanaweza kuwa chachu ya kutimiza ndoto zako au sumu ya kuziuwa na kuzizika kaburini.
Asiyetowa gharama ya mabadiliko ya maisha yake na jamii yake, basi atatowa gharama ya kubakia sehemu aliyopo pamoja na jamii yake.
Ukiamuwa kubadilika na kufanya juhudi za mabadiliko, basi Mola wako atakubadilisha na atakufanyia wepesi kuzifikia ndoto zako ulizozidhamiria.
Huwezi mpata mtu aliyekata kizazi au mwenye kuwaasi wazazi wake wawili kisha akawa na furaha katika maisha yake hata kama ana mali nyingi kiasi gani, furaha ya maisha ni kwa yule aliyeunga kizazi na kuwafanyia wema wazazi wake hata kama ni maskini.
#assarawiyaat#assarawiyaat