@Maleyadam@ayubu_madenge Hivyo ni vyeo ila wote ni maaskofu. Ukardinali ninhadhi maalum ya kanisa kuweza kuwa mshirika wa karibu wa Papa katika kumshauri na kumchagua papa. Ila askofu ni kiongozi wa kanisa katika sehemu maalum au kazi maalum.
@Maleyadam@ayubu_madenge Kuna makundi 3 ya makardinali; makaedinali maaskofu, makrdinali mapadre na makardinali mashemasi.
Hivyo Rugambwa ni kardinali padre (cardinal priest)
@EllyDon_@MariaSTsehai Hakuna kanisa linalotoa huduna za kijamii kama afya na elimu zaidi ya kanisa Katoliki. Serikali ilijimilikisha shule nyingi za kanisa kama Pugu, Ndanda na nyingine nyingi. Kanisa halikuacha kujenga na kuendeleza shule zake. Kwa upande wa afya kuna hospitali nyingi sana za kanisa.