Kweli nilikuwa wamwisho kwao,
Ila Nilikuwa #Mshindi Kwangu,
Nilitimiza nia yangu, Nikawa mshindi wa Hitaji langu.
Usishindane na Mwenye Nia na Lengo Tofauti na wewe #Utaumia Tu.
🙌🙌🙌🙌🙌
Si kila unayemuona #Bwege ni Bwege,
Wengine #wanakuvumilia tu ili uwe na #furaha, Wanathamini uwepo wako,
Japo unawaona kama unawatumia,
Ndio maana no matter how you #hurt them,
Bado wanatabasamu na kukuonyesha they are okay,
Huwezi jua #thamani yao hadi Ukiwapoteza,
The shida ni hii,
Wanawake wengi wanakubaliana na wakati uliopo kuliko ujao,
Hawezi kukuvumilia wakat anajua pembeni anapata mahitaji yote,
Afu wanasababu ambazo kuelewa ni shida,
Ila wanawake mnazidi kuongezeka tu
😂😂😂😂😂😂
Kuna baadhi ya wadada hawawezi kuwavumilia Wanaume zao walau hata miaka mitatu tu wajitengeneze na kujipanga kimaisha ili wawawoe lakini wanaweza kumsubiri mume wa mtu kwa miaka 10 aachane na Mkewe ili waolewe wao.
Mungu atusaidie 😢
@bajabiri Kuna mda mazingira yote yakifeli tunabakia na imani na uhalisia
Imani itatuambia yatakoma tu na uhalisia utatuambia hakuna kinachodumu milele
😧😧😧
@MarekaMalili Nilipoachana na demu wangu kaniandikia barua yakunibembeleza(enzi hizo)
Nikaibandika kwenye mgomba si ikafumwa na jina langu lipo?
Siji sahau kichapo chake😅😅😅😃😂😂😂😂
@AAnorldkyamba@MarekaMalili@rollymsouth Kanikumbusha mauno ya kwenye nyimbo za kizaman halafu wazazi Ndio wanadai zilikuwa na maadili
😅😅😂😂😂😂
Nimecheka sana leo kwakwel
@nikkwapili Mapungufu yangu au mafanikio yangu sio msingi waliopo wengine.
Siwezi nikakuhukumu kwa mambo yangu
Sijui leo umekuaje @nikkwapili yaani ule wewe nishibe mimi?
Inakuja kwel?
@FoumJnr@TitoMagoti Ninachofurahia katika maisha ni hiki,
Sikuzote watu ndio hufanyika kitu kifikra bali baada ya hapo nikila mmoja na mzigo wake.
Leo itakuwa hivi ila mwisho wa siku nafsi yake ndio kila mmoja itamshugulikia ni bora ukapigwa risasi ukapotea kuliko ukahukumiwa na nafsi yako binafsi.