@kingjames_tz@EsirEid@InnocentJLS Wachezaji wa England wengi ni average. Kinachofanya Wachezaji wao tuwaone ni wazuri, ni kwa sababu tunawaangalia kila weekend kwenye ligi yao wanatukaa kichwani. Ligi nyingine hatufuatilii.
@iHumphreyz Sawa ila nilitegemea kuona ukitoa views zako kuhusu adhabu aliyoitoa kuliko physical appearance.
Maisha ya zamani ni tofauti na sasa. Ulikua ukikutana na mwl wako njiani unabadili njia. Now walimu wanapeana tano na wanafunzi. Je wewe suruali yako ina marinda matatu?