@DullahTheking2 Ndio maana kwenye maisha omba uwe na bahati sana na wala usijikite kwenye kujitanua kiuwezo mkubwa wa kufanya jambo fulani! Kwenye work hard kuna nguvu lkn kwenye bahati kuna Mungu!
Pumzika kwa amani mama yangu kipenzi😭😭umeniacha nikiwa bado natafuta mtaani,hujayaonja matunda yangu mama😭😭😭ulinipenda Sana hakika upendo wako🙏🙏🙏mama lala salama sina neno Zaidi ya NAKUPENDA MAMA.
Jana nilipost mikeka 6💥
Mitano Basketball 🏀
Mmoja wa Baseball ⚾
Mikeka minne ni Win✅
Lost miwili❌
Nimekusanya 4.2 Million
GIVEAWAY TIME
Watu 100 wa kwanza kurepost pinned post wapate mitaji leo toka GIVATIPS 💥💥💥