@SonicAssistant I've been waiting for this for a long time the meta memes are just horrible really, we've fallen out of reality and stopped at one place #stopmeme
Utility >>> meme
1/8 GM Martians! Web3 is about to get Social with Martian on @Aptos_Network. We are excited to announce the launch of our Twitter integration feature that will enable you to do transactions on Twitter in a fully self-custodial manner!
Let’s dig a bit deeper:
Rais anaposema takwimu zimepungua za vifo na maambukizi huku mazingira ni tete kwa ugonjwa wa Corona majumbani anadhani ni vyema kusema hakuna tatizo tena nchini!?
Huku tatizo lipo Je ni silaha ya kutoa tatizo kujifanya tatizo linapungua huku bado!
#Akili za kuambiwa ongeza zako

Mwenyekiti Uvccm Heri James
Vijana wa upinzani tunajua bar unazokunywa na sehemu zako unazotembelea ,Tunakuambia uache siasa za kitoto uliambiwa Taifa hili la ccm pekee jitaidi ustawi kisiasa tangaza umoja siyo uvunjifu wa amani .
#FreeMdudeNyagali.
#FreeInnocentMan

Mbunge wa kishapu mwenye makosa 12 ya uhujumu uchumi
kupewa dhamana ya bondi ya million 50 na mahakama kuu tawi la Shinyanga ni kituko kingine huyu ndiyo wa kuwa ndani siyo Mdude Nyagali police na system mliompandikizia makosa ya drugs.
#Haki Tunda la Taifa
#Free Mdude Nyagali

Nimepita Bunda kutoka Dar unashushwa lazma kupimwa
Corona well ni jambo jema,
Nashtuka Nakuta wanakifaa cha kupimia joto baada ya
kupimwa joto ! wakasema
nipo vizuri sina corona niliwaambia hamna akili
ninyi!! Hiki ndiyo kifaa cha kupima Corona?hawakunijibu walinitolea macho !!