@IAMartin_ Mtangazazaji ni Manju wa Muziki anaitwa Masoud Masoud anatangaza Tanzania Broadcasting cooperation TBC unaweza kupata katika Page yake ya Facebook kwa jina la Masoud Eid
@DrTaxs@gcumod@TZMsemajiMkuu Hongera na Kongole kwao bila Shaka ni ishara njema kuwa Jeshi letu litaendeleza kutuletea heshima kama wakati wa Bayi,Nyambui,Shahanga,Ikangaa