Vitu zote zenye nishawai plan nitafanya or zifanyike hazijawai fanyika manzee maybe it's only 1% ndio zilihappen and the ones I even never imagined of zilikuja kuhappen, that's why nowadays I stopped planning for things sijui kesho or next month or next year nitafanya hivi, No.
Madem muwache hii tabia manzee, nikikuambia nimetoka place fulani maraundi wacha kuniuliza nimekubuyia nini please? Si hata uniulize venye nimeshinda huko hata kama nilikula ndio nikikusho nilikula uanze kuitisha mambo yako, muache hiyo tabia bana. 😂😂😂