1). The Market (Target Audience)—50%
2). Offer—40%
3). The Product—5%
4). The Copy—5%
Hizo ndo Sehemu Muhimu za Kuweka Nguvu Zaidi Katika Biashara Yako Bila Kujali Unauza nini Hasa Hasa Online!
@MariaSTsehai@lifeofmshaba Hii sio sawa…. Tuheshimu Utu wa Mtu awe Kiongozi au asiwe Kiongozi…. Utofauti wa kimtazamo usiwe sababu ya kutweza utu wa mtu.
Maneno Ambayo Nayarudia Kuyasoma kila siku Kabla ya Kulala—ni Haya Hapa Chini kutoka kwa Mentor wangu wa Nigeria:
“If You Want to Make BIG Money as an Info-Marketer, You’ve to Focus on the DISTRIBUTION Game—Not the Game of Creating Products”
Chukua hiyo!
Faida za Kihisia Zinanguvu Kuliko Faida Za Bidhaa Yako…
Brand nzuri humfanya mteja ajisikie:
- Anajiamini
-Anaonekana bora na kuhisi kuwa sehemu ya kundi fulani
Hizi si faida za kimwili ni za kihisia na zina nguvu kwa kutengeneza ununuzi wa mara kwa mara
👇🏿
I work at NMB ❌, I Work at The Most Profitable Bank In 🇹🇿, NMB ✅
I’m a Finance Manager at Sportpesa Tanzania ❌, I manage Sportpesa’s Finance where we transact over 700 Million TZS every day in Tanzania ✅
Naomba Kazi ya Kukutafutia masoko ❌, Naomba Nikusaidie kupata wateja wapya 100+ ✅
Kazi Yangu Ni Kufagia Ikulu ❌, Kazi Yangu Ni Kuhakikisha Ikulu Ipo Safi Wakati Wote ✅
Nauza Karanga ❌, Nauza Virutubisho Vya Kuongeza Nguvu Za Kiume ✅
Bonus
Mimi ni dereva wa boda boda ❌, nawasaidia watu kuepuka foleni za Dar na kufika wanakokwenda kwa haraka na kwa unafuu ✅
Kitu Kikubwa Zaidi Nilichojifunza ndani ya Mwaka 2025 Kuhusu Biashara Mtandaoni ni Kwamba:
“Pesa Zipo Kwenye DISTRIBUTION—SIO Kwenye Bidhaa/huduma”
PS:Yule Mwenye DISTRIBUTION Channels Nyingi Zaidi Ndio Anayepiga Pesa Nyingi Kuliko Mwenye Bidhaa nzuri Zaidi
Mzee baba....Kwenye Biashara Kuna Kitu Kinaitwa "Prior Entrace Calculation"
Hizi ni zile hesabu unazopiga kuhusiana na biashara+gharama za uendeshaji kabla hujaingia katika biashara hiyo.
Threads🧵👇
Kibongobongo utafundishwa sana Business Management au Business Administration
Very rarely utasikia watu wakifundishwa Business Establishment au Business Development
Unawafundisha watu ku- manage biashara ambazo hawana. Mwisho wa siku unatengeneza matapeli tu.
@Rydx_017@athanas_pius@DullahTheking2@Balyx_@babalao__@MissChelsea1221 Vitabu Vya Risiti
A4 15,000/= oda kuanzia Vitabu Vitano.
A5 10,000/= oda kuanzia Vitabu Sita.
Prafoma Invoice 15,000/=
Invoice book 15,000/=
Hospital registration Book 15,000/=
Whatsup 0769063447
Sinza Kumekucha 📍
Unaweza kutoa huduma za bafu zinazohamishika na sehemu za kujisafisha (dry clean) kwenye fukwe za umma. Hii itawasaidia watu kuondoa chumvi baada ya kuogelea na kuwapa uhakika wa usafi. Pia unaweza kuongeza huduma nyingine kama kuuza shower jelly, sabuni, mafuta ya kupaka n.k
Nondo zipo kwa E-BOOK yangu “Dawa ya Hofu: Safari ya Kijasiriamali Kutoka Kwa Wasiwasi Mpaka Ujasiri wa Kufaulu”
Hiki kitabu ni tiba. Si tiba ya dawa, bali tiba ya fikra. Ni upasuaji wa ndani wa akili ya mjasiriamali anayetaka kusafiri mbali ila miguu yake imefungwa na hofu.