Waelimishaji na Waagizaji wa Magari ππ kutoka Japan, Singapore, Dubai, china, Uk na USA na Pia Tunatoa Huduma za Utoaji mizigo bandarini karibu sana.
@Adventure_36 Hapa shida inaanzia pia namna hyo askari alivyo msimamisha jamaaa ni kama yeye mwenyewe amstukiza huwa inatokea sema watu wanaweza hisi mwenye gari kaleta dharau nanpia thamani ya gari watu watatafsiri kawaida ila kama unaendesha chombo cha moto hali hiz huweza tokea
π₯π₯π₯ASANTE KWA KUTUAMINI BOSS WANGU 2025 BADO TUNAENDELEA KUTOA GARI NZURI ZA BAISHARA
KAMA UNATAKA GARI ZA BIASHARA , SHULE USIACHE KUTUPIGIA
TUPIGIE:(0658258082)
Mkuu kuna baadhi ya details inabid upewe kidogo any importation utalipa kodi ilele hakuna tofauti labda kupungua ni purchase price bt kodi unalipa kama ilivyo nje ya hapo labda uje ufanye magumashi ya kukwepa kodi bt all regulation za importation iwe kwa boda au port ni same
Bilnass, Hii Gari aina ya Landrover Defender 2024
Aliyomnunulia Mkewe..
Utagundua kuwa Hii gari kaenda kuinunua Zambia (au kaiagiza alipo iagiza ikafikia zambia)
Then ndio akaiendesha mpaka Tz,
Angeiagiza kupitia Bandari ya Tz gharama zingekuwa mara 2
Video kwa Comments π
@hamzaalbhanj@Barongo01 Process zinakuwa kamaumeimport kutoka nchi yoyote kaka sema watu wanaandikaga vitu bila kujua hawa ndio wanaagiza gari ikifika port au boda akiambiwa kodi ni kiasi hiki anapiga kelele lakini ungemconsult mtu anayejua uagizaji angekupa ABC za uagizaji