Mgonjwa wa kwanza duniani mwenye mchanganyiko nadra wa magonjwa mawili ya mafua na corona "flurona" amegundulika Israel, Raia wamekumbushwa kuchanja baada ya uthibitisho kwamba sasa Watu wanaweza kupata COVID-19 na mafua kwa wakati mmoja, utafiti unaendelea. #MillardAyoUPDATES