Kama mtu ni kibarua analipwa 10K kwa siku. Je anapaswa saving yake kwa siku iwe kiasi gani na kipi akifanye mwanzo?
1. Ajenge
2. Awekeze kwenye biashara
Vijana wa CCM hii program ya kupita vyuoni kutoa elimu ya uzalendo ndio mumepewa na serikali au chama chenu?
Uzalendo mtu hafundishwi ni kama kifaranga alivyo hafundishwi kuchekura. Kwanza hoja ya kuwashawishi hao munaowapa hio elimu hamna.
CCM wanatugawa wananchi wa Tanganyika na Zanzibar ili wazidi kututawa.
"Divide and Rule" Hii ndio njia mojawapo waliotumia wakoloni kututawa waafrika na ndio sasaivi wanatumia CCM kututawala.