Ewe Mwenyezi Mungu. Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo. Nakabidhi mjengo huu mbele zako. Niepushe na tabia ya tamaa na kuwa na haraka ya kufanya uamuzi. Nisaidie kuona mitego iliyofichwa kwenye soko.Niwezeshe nifwatilie system yangu. Wiki hii iwe njema na yenye mafanikio. Amina๐๐พ