"Nikampigia simu, niaje baba tukona meeting ya wazazi Friday, si utatokea akasema sawa...Gabby pia akampigia akamshow niaje baba tukona meeting friday akasema sawa😅😅 Gabby akapiga akasema imekua cancelled, mi friday nashangaa kwan sina mzazi 😅"
"Kulkua na ant fulani biggy class, nkamuuliza kama ziko mingi uku...akasema aaaah izi kama ameshika kadhaa akazidishi😅😅😅 alafu akatoa salt kwa mfuko"
Podcast is already out on our youtube channel.
@ayimba_brian nayo ni mnoma 😅
https://t.co/cGTMZaT0CG
At what point do you get the time to be sad or depressed or lonely in Kenya? I have laughed until my ribs hurt and the neighbours are asking what's wrong. I even forgot I have responsibilities. What is this now? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣