Unasaidia morio wako keja then anaamua kupika sembe na mayai yako akiwa na Dem yake ya hostel joh ,kitu iliuma sana ni kuguza afkado nikatokwa na wazimu 😅👀
Naomba kuuuliza ety mafanikio yakija kwa mtoto ni mama Tu Sio Baba Mfano nimeona kwa wengi sana moja wapo na huyu kipa vozinha wa timu verde mnijuze 🤦🏻♀️
Wanaume nina swali
Ikitokea mke wako yupo hospital kwa ajili ya kujifungua na hali yake ya kiafya sio nzur, docta akakuita uchague mmoja wa kumuokoa kati mama na mtoto na ufanye maamuzi ndani ya dk 5. Utamchagua nan?