โฝ The Official Account of Azam Football Club
๐ 2013-14 Tanzania Premier League Champions.
๐ Founded in July 23, 2004.
๐ฑ #AzamFC#TimuBoraBidhaaBora
Week of action! ๐ฅ
Jumapili hii tutacheza mechi yetu ya kwanza ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Maniema ya DR Congo, mechi itakayoanza saa 10.00 jioni (saa za Afrika Mashariki).
#cafconfederationcup#weareazamfc#timuborabidhaabora
Beki wa kulia huyo, amecheza jumla ya mechi 24 hadi sasa, akiwa amefunga mabao saba na kuchangia pasi tatu zilizozaa mabao, takwimu zinazomfanya awe amehusika kwenye mabao yetu 10.
#azamfcstats#weareazamfc#timuborabidhaabora
๐ DEFENDER! ๐ฅ
Takwimu zinaongea! Nahodha msaidizi wetu, Lusajo Mwaikenda, amewapiku mabeki wote kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu huu 2024/25, baada ya kuandika rekodi ya kuwa beki aliyefunga mabao mengi zaidi hadi sasa.
๐๐๐
๐จ M A T C H D A Y ๐จ
๐ Dodoma Jiji
๐ NBC Premier League
ยฎ๏ธ Round 28
๐ Azam Complex
๐ฐ 7.00 PM (E.A.T)
#weareazamfc#timuborabidhaabora
#TANZIA
Azam FC tunatuma salamu za rambirambi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu, Charles Hilary, kilichotokea leo Jumapili Mei 11, 2025.
#weareazamfc#timuborabidhaabora
#FixturesRescheduled Tarehe mpya za mechi zetu mbili za mwisho za kumalizia msimu huu 2024/25 wa Ligi Kuu ya NBC.
(H) ๐ Tabora United (June 18, 2025)
(A) ๐ Fountain Gate (June 22, 2025)
#nbcpl#weareazamfc#timuborabidhaabora