RC Chalamila anasema pale Shekilango mabasi yameongezeka mpaka inakuwa usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara.
Watu wameacha stend ya Magufuli na kugeuza Shekilango kuwa ofisi za mabasi.
Ukiwa una shinda Bar, utaanza kuona tabia za kuomba watu pombe ni za kawaida.
Ukiwa una garage utaona tabia za matusi ni kitu cha kawaida.
Ukiwa unashinda vijiweni utaona tabia za umbea na uchonganishi ni kawaida.
MANZINGIRA, MAZINGIRA, MAZINGIRA.
Ally's Star amepambana na Wakurugenzi wapya wengi sana hapo Mwanza - Dar. Ila, vita zote kazishinda. Unahisi ni kitu gani kinaendelea kumfanya bora sana barabarani kiasi wanakuja na kumuacha?
Ikumbukwe, huyu ndo Muasisi wa Masaa na Huduma bora✔️.
Pale Dar Mwanza Ally’s Tushajua Hana Mpinzani Tumuache Aende Sasa Ndugu zangu Katarama na Happy Nation Mmoja Ajiandae Kumpisha Kiti Mkurugenzi wa God First na Yeye anaitaka nafasi ya 2 Hii