Standing with the Tanzanian people. Samia and her rogue Mafwele won’t go down without more bloodshed but @jumuiya people shall overcome. #JumuiyaNiYetu
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema asilimia 80 ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hawakukubaliana na msimamo wa 'No Reforms, No Election,' ndiyo maana wengi wamehakama chama hicho.
TUNDU LISSU SPEAKS OUT FROM PRISON: “I’M UNDER TOTAL ISOLATION AND CONSTANT SURVEILLANCE”
Tanzania’s opposition leader and CHADEMA Chairperson, Tundu Lissu has spoken out from prison through a statement posted on his official X account on October 26, alleging that he is being held in total isolation and under constant CCTV surveillance.
Lissu said fellow inmates who once shared his cell have been removed, leaving him completely alone.
"My cell is now fitted with surveillance cameras (CCTV) that record everything I do even when I relieve myself or change clothes. I no longer have any privacy whatsoever. This is not a matter of security; it is a deliberate act meant to humiliate my human dignity,” Lissu said in his statement.
He described the treatment as a violation of the UN’s Mandela Rules and Articles 12 and 13 of Tanzania’s Constitution, both of which protect the dignity and rights of every person, including those in custody.
Lissu, who has been in remand for over 200 days on treason charges, had his case adjourned to November 3, just days after the general election.
His message comes amid rising reports of abductions and enforced disappearances of opposition members and activists across Tanzania, as the country heads toward the October 29 elections.
Meanwhile President Samia Suluhu Hassan arrived in Mwanza on Monday, where she is expected to conclude her party’s campaign rally on Tuesday, October 28.
Kijana Smart anaetoa hoja za msingi Ametekwa. @EJ_Mwita
Ni wazi hii serikali inataka kutawala kundi kubwa la MANDONDOCHA. Ukiwa na akili za kuhoji na kuuliza maswali magumu wewe unaonekana adui wa taifa.
Muachieni kijana kama kukosoa serikali ni kosa mpelekeni mahakamani.
#EnforcedDisappearance#Tanzania
This young man Mwita @EJ_Mwita was abducted yesterday by people who claimed to be police but is not at any police station! @tanpol is responsible for the safety of all citizens instead it is seen as a menace!
@SuluhuSamia is busy abducting instead of campaigning - thinking that spreading fear and terror is the answer!
#FreeAllPoliticalPrisonersInTanzania
Bi Kizimkaz unapomchungulia Lissu kwa CCTV akiwa uchi unapata nini?
wewe Kikwete na Masheike ndio dini yenu inataka mambo kama haya kiongozi wa kike kumchungulia mtu ambaye sio mumewe akiwa uchi?
Hizi CCTV sio kwa ajili ya ulinzi , Gereza la Ukonga lina uzoefu wa miaka mingi sana kulinda wafungwa hata kuliko Lissu
Kama Gereza limekuwa na uzoefu huo kwa muda mrefu mtapinga vipi kama hizi CCTV zimewekwa sababu ya tamaa za mtu kupenda kuchungulia watu wako uchi?
Haya mambo kuanzia aliyefunga hizo camera na aliyemtuma kuzifunga hizo kamera kutoka na nyege zake wote watashitakiwa kwa huu uharifu mkubwa
Jamani baadaye ya #MO29 tukikubali hawa wendawazimu kuendelea kuwa madarakani, watachezea makalio ya kila mtu na kuturecord wote, hawa watu wana ushenzi uliopitiliza akili yao inawaza mauaji na uovu mwingine wote
Murilo anaishi KIMARA MWISHO mitaa ya king'ongo. Wanangu wa KIMARA MWISHO na maeneo ya karibu kabla hamjaja kuungana na sisi kuelekea IKULU hiyo nyumba muitembelee kwa wingi wenu.
Wanaoishi humo watawaambia wapo wapi ndugu zetu waliotekwa. BADO MASAA 24 tujue ndugu zetu waliotekwa wapo wapi.
TUTAKUWEPO🫵😎
Jana tumeona TARIME wameandamana kutaka MAANDMANO.
Bado masaa chini ya 24—nimeanza kupokea ripoti baadhi ya maeneo GEN Z wameanza kazi. Wameanza kushugulika na vituo vya kupigia kura usiku wa jana.
TAARIFA KAMA HIZI NITUMIE DM NA VIDEO—kuna wakina TOMASO wanahisi tunachekesha.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mimi nilitekwa na ZCO FAUATINE JACKSON MAFWELE.
Hilo nilisema tangu siku naokotwa MBUGA YA KATAVI kuwa nilitekwa na JESHI LA POLISI.
Samia alinichangia 35M ya matibabu ila hakuwa tayari kuwawajibisha walioniteka. Hii ni wazi alifanya kunilipia matibabu kama "MTAJI WA KISIASA" ila hakuwa na nia ya kumaliza UTEKAJI nchini kama kiongozi mwenye mamlaka ya kulinda Raia na mali zake.
Ndiomaana licha ya mchango wake wa FEDHA naendelea KUMPASUA na sitaacha mpaka NAKUFA.
TUTAKUWEPO🫵😎
@Roma_Mkatoliki habari za majukumu. Hawa jamaa upo nao huko fanya mpango ndugu wa remix na picha za kina @mdude @soka @BenSaanane nyimbo zinamsaada sana.