@BracuszCadabra Huyu chilambo hafai ๐ kila sehem yeye anafit Kipindi yupo Azam, Bakhresa alimtoa kwny Timu akampeleka kiwandani kusimamia shughuli za kiwanda. Ndomana unaona Azam Fc hawalalamiki kuhusu kuondoka kwake, ila kiwandani unaambiwa shughuli haziendi pengo ni kubwa mno. ๐
@MswatiKing_01 Hii timu haina structure mzee, inatakiwa watengeneze identity yao ili recruitment iwe inazingatia huko, wao kila kocha wanamtaka hii ni hatari maana haitawasaidia chochote msimu ujao watamfukuza.Hapa ilitakiwa wavamie timu kama Brighton chukua sporting director
@privaldinho Huo ndo ubaya ubwela shayo, kaa utulie halaf ww ni mwanasheria ilibidi uweke pingamizi kuhusu muda wa kufungua shauri sio kutuuliza sisi walikuwa wapi.
@athanas_pius Me nahisi wana group lao, wanatumiwa wanacopy paste, huoni hiyo "wachina na wapakistan" "usd 2.5M" "yeye anataka usd 10M" ๐ ongea nao vizuri wakuunge
@baraka_asege Pia ndiye aliyemfanya chasambi apge back pass kutoka katikati ya uwanja mpk kujifunga, akafungwa na yanga na makocha wa mpito mara 4 mfululizo.