Ile timu yako pendwa ya @LatinoSausage Jana ilikuwa na mechi pale viwanja vya Tanganyika packers na kuibuka na ushindi wa goli 2 bila..Tunakaribisha timu nyingine za makampuni mbalimbali ,organization au hata za mtaani.
Michezo ni Afya💪⚽️.
UPDATES | SOWAH 👇
Jonathan Sowah wa Simba Sports Club amepewa adhabu ya kulipa faini na kufanya mazoezi na timu ya vijana ya Simba SC U20 ili kujitazamia baada ya kuwa na matukio ya Utovu wa nidhamu.
Adhabu ya Jonathan Sowah inaanza leo.
CARLOS QUEIROZ KOCHA LA NATIONAL TEAMS
🌍 National Teams
🇵🇹 Portugal
🇦🇪 United Arab Emirates
🇿🇦 South Africa
🇮🇷 Iran
🇨🇴 Colombia
🇪🇬 Egypt
🇶🇦 Qatar
🇴🇲 Oman
🏟️ Club Teams
🇪🇸 Real Madrid
🇵🇹 Sporting CP
🇺🇸 New York Red Bulls
🇯🇵 Nagoya Grampus
🏴 Man United (assistant)
UTABIRI CRDB FEDERATION CUP
*Simba SC vs Coastal Union*
QF2
*Young Africans SC vs JKT Tanzania*
QF3
*Azam FC vs Mashujaa FC*
QF4
*Singida Black Stars vs TRA United*
🔥 *NUSU FAINALI* (inawezekana ikawa hivi)
*Mshindi QF1* vs *Mshindi QF2*
*Mshindi QF3* vs *Mshindi QF4*