Existence ya Jesus haina mashaka, chenye mashaka ambacho watu wanapingana nacho ni "u Mungu " wake, a simple search will show you that uwepo wake umekuwa confirmed na other non religious writings.
And that's how people were storing info back then "Writings".
I can promise you Kwa watu ambao WE HAVE SCIENTIFIC PROOF, MJ amepita hao wawili.. sababu we have actual records of him being around.. kafika mpaka Afrika na ushahidi tunao.. wa picha, videos nk..
@MightBeKelvin@bichwaa It's on us, kuwakumbusha Viongozi kwamba matendo yao yatakutana na feedback kutoka kwa wananchi.
Wamefika mbali saiv wanaua watu hadharani, na tulivyo cowards ( we are all cowards) tukajifungia ndani.
Wanajua hatuna cha kuwafanya, ila wangejua tungeheshimiana.
@MightBeKelvin@bichwaa Africa ya leo si ya wakati Ule, Coups zilikuwa zinatokea kila iitwapo leo.
1970 to 19780 Kulikuwa na Coup zaidi ya 30 Africa.
Pia unajua siasa za dunia za wakati huo west vs east.
Kumpa Rais madaraka 'yaliyopitiliza' ilionekana ni jibu kwa baadhi ya changamoto.
@MightBeKelvin@bichwaa Kwani kinachofanyika sasa ndio kilichoasisiwa na JKN? Au watu wamejianzishia mambo yao?
Walikuwa na Code za Uongozi, je zipo sasa? Zilienda wapi?
Inakuambia nini hii? Hata mifumo ingekuwa mizuri kiaasi gani wangeipiga tu chini.
@husseinabui@MoruoKing Interesting !!!
Kwahiyo zile habari kwamba watu wasio na hatia walichukuliwa zinaweza zisiwe kweli.
Sababu nyie waliwafuatilia na wakakuta hamna hatia wakawaacha.