Mtoto wa Kiume anazaliwa na jinsia ya kiume then atafundishwa kuwa Mwanaume..
Utu, Akili, na mengine anaweza kujifunza kutoka kwa yeyote ila UANAUME atajifunza kwa Wanaume tu. Unfortunately Wanaume wengi tumekabidhi jukumu hili kwa Wanawake kwa kisingizio cha kukosa muda
This 13 year old boy from West Pokot dropped out of school, he said he wanted to focus on his life and education was a waste of time, see how he has made it already.
Jamaa ashamake tayari.
Nchi imevimba! Asante kijana for speaking Truth to Power!
Tatizo tukiweka maoni ya wananchi mnafikiri tumewatuma au tunasema sisi! Narudia wasikilzeni wananchi na wapeni wanachodai!
Hawaitaki CCM! Hawamtaki Samia Suluhu! Hata mkiunda faka accounts kututukana hamsaidi mnazidi kutia hasira! Na wanataka HAKI na UWAJIBIKAJI kwa mauaji ya Oktoba 2025
Mnaootutishia, kutuambia eti mtatuua tukiandamana mnazidi kuongeza hasira! Vifua vimejaa nyie mnazidi kumwaga petroli kwenye moto!
Hivi huko ndani mmebaki wajinga tu!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Niliwahi muhoji afisa mmoja anae hudumu kwenye mizani congo,mbona mizani yenu mnapima tu gvm kujua uzito wa mizgo inayo ingia na sio kukamata gari zinazo zidi,akajibu,ulishawahi onawapi udongo wa mungu umekanyagwa na gari na ukatoweka?.wewe pakia kadiri uwezavyo kinatacho potea au kuharibika ni gari yako nasio udogo wa mungu.😀😀🙌
Watu wa Epower endeleeni tu kuendesha gari bila mafuta. Two cases a week is mad but anyway my pockets are happy.
When you drive your Epower without fuel you push the hybrid battery to its limits. Once the battery goes below the nominal voltage, it will require to be charged offboard for the car to start. Now the one thousand you were saving will cost you several thousands. Stay guided.
Pale kwa Matanga ya One of Utumishi Girls Academy fire victim mambo Yalichemka!
A student who survived the fire decided to speak her raw truth as she pointed the hard-eyes of some of the Teachers present at the burial who she claims are pretenders who have been lying about the incident despite knowing the truth and despite being at the scene but doing nothing to help.
The student alleges the Matron who is alleged was not in school at the time was at the Scene but didn't even lift a finger to try break the locks from outside but watched like kwenda huko as her peers got roasted in their screams.
Amesema walimwengu na Mungu awasamehe tu lakini yeye she has zero msamaha to offer them.
Ilibidi anyang'anywe tu mike akitolewa kwa podium.
BAJETI 2026/2027. Hapa jambo kubwa ni je mikopo yetu ni HIMILIVU? Hapana imezidi. Kwani kwa takwimu hizi
Mapato ya serikali ni Shs T36.99 kodi+T9.24 mengineyo =T36.23.
Madeni ni T7.84 yaliyoiva+T6.86 riba=T14.70.
Madeni kama asilimia ya mapato halisi ya serikali : T14.70/T36.23 = 40.57%.
Deni himilivu halitakiwi kuwa zaidi ya asilimia 18% ya mapato ya serikali. Kwa hiyo tumevuka mpaka (kima cha juu) hata kama WAKOPESHAJI watatwambia vinginevyo. Bila misaada zaidi TWAFA🏃🏻♂️🏃🏻♂️🏃🏻♂️Kodi zikizidi uwezo wa wananchi kulipa zinakwepwa au kufirisi walipaji. Inakuwa vicious circle.