Nilipata hii username nikihang kwa mlango ya nganya ya Umo ikigonga 120km/h pale Outering. Donda alikuwa amesema fare ni chwani, nikampea soo. Kuitisha change akaniangalia kwa macho akasema, "Kuwa strong we mzee." Hiyo 50 bob ilienda hivyo, na mimi nikabaki na jina.
Growing up as a family of boys tupu clouded my mind,nimegrow kujua girls are a very special thing ata ni juzi juzi tu ndio nimejua madem hukula githeri pia