@mangekimambi Inasikitisha sana!
Lakini hii damu itawaandama pia nyinyi munaojiita wanaharakati.. munaohamasisha fitina za maandamano na mukawaacha wezenu barabarani hali ya kuwa nyinyi na familia zenu mumejifungia mupo salama salmini mnaendelea kuwajaza uongo wa kila aina ili watoke wakauawe!
@TitoMagoti Inasikitisha sana!
Lakini hii damu itawaandama pia nyinyi munaojiita wanaharakati.. munaohamasisha fitina za maandamano na mukawaacha wezenu barabarani hali ya kuwa nyinyi na familia zenu mumejifungia mupo salama salmini mnaendelea kuwajaza uongo wa kila aina ili watoke wakauawe!
@tanpol Na mimi naomba elimu ya bure ni taratibu gani za kisharia natakiwa kufuata ninapotoka na kuingia nchini, ukiachana na zile za uhamiaji viza na mambo kama hayo.. kuna taratibu nyengine?
@eastafricatv@ChademaTZ2 Ndio faida ya kuuliza na kuuliz sio ujinga.. kwahio CHADEMA iligomea matokeo na kuzuia kabisa kushiriki bunge kwa walioshinda lakini inapokea Ruzuku ya ilicjogomea ama???
Kuna question mark nauliza..
@IDF The world?
What kind of world are you talking about?
Are those you're attacking in #GazaGenocide sheep or goats?
Calm down — now it's your turn to be dealt with!