@UTDDady Kipande kizur ni pale Mr white n'a jesse inabid wazipike crystal alafu kuna jamaa kaletwa n'a boss acopy jinsi wanavyo pika den majamaa wauliwe 😄😄hapo ndo balaa
“TAARIFA YA UFAFANUZI
Ndugu wateja tunapenda kuwafahamisha ya kwamba tangu Juni 1 2022 bili zote za maji zilianza kutolewa kwa kutumia kikokotoo kipya kinachojulikana kwa jina la kitaalam MANDONGA-NDOIGE CALCULATOR (Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka)”
kesho mapema tu asubh nafungulia radio na kuskiliza wasaf arena maana najua tu kaka @George_Ambangil utapakua minyama ya kutosha kwa watoto wa msimbazi 😂 aka pila matunda